22.10.2022

Kiwanja kinauzwa Toangoma Mwem

TZS 28 500 000

Condition:

NEW

Description

Mpendwa mteja napenda kukukaribisha ujipatie kiwanja bora chenye ukubwa wa wa sqm 955 kilicho tambarale na kiko mjini kabisaa karibu na barabara kibwa maeneo ya Tuangoma Mwembe Mtengu wilaya ya kigamboni. Eneo linalojengeka kwa kasi zaidi na nyumba za kisasa kabisa karibu tukuhudumie kiwanja kizuri na kwa bei nafuu kabisa ya Tzs 28,650,000.. for serious buyer contact me through 0656047218. KARIBUNI karibuni tuwahudumie

Daniel M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location