09.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

KIWANJA KINAUZWA NI KIZURI TENA TAMBALALE

TZS 60 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

KIWANJA KINAUZWA NI KIZURI TENA SANA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII ZINA PATIKANA KAMA MAJI NAUMEME N,K MAHALI KILIPO BWENI UKUBWA WAKIWANJA SQUARE MT 840 HUDUMA YAKUONA KIWANJA 20000 KIWANJA KIME PIMWA KINA AT JINS YAKUFIKA NI RAHISI SANA FIKA STAND KUU YA BUNJU MIAZINI WASILIANA NASI SASA UKIONE KIWANJA KWANZA

Zuberi S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam