Details
Description
Kiwanja kinauzwa kipo kiwangwa bago ukubwa wa kiwanja kinaukubwa wa heka moja kasoro robo kiwanja kinauzwa mirioni nane kutoka kwenye rami mpk kwenye kiwanja mita miyatatu ndan ya kiwanja kuna bomba lishavutwa kabis na mananasi unavuna