Condition:
NEW
Description
kiwanja kipo: kinyerezi - dar es salaam. - kiwanja kina ukubwa wa sqm 2,475 - kiwanja upimaji tayari umefanyika na mawe yamesha wekwa. - kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi. - huduma za kijamii zinapatikana karibu na kiwanja - eneo lililozunguka kiwanja tayari limeendelezwa sana - kiwanja kipo mtaa mzuri sana umejengeka kimpangilio na umetulia sana. - Bei ni milioni 90,000,000/-maongezi yapo. - siku za kwenda sity kuona kiwanja ni siku yogote. - kwa maelezo zaidi wasiliana nasi