Details
Description
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2 Kiwanja kipo mita 20 kutoka kwenye barabara ya lami kama inavyo onekana kwenye picha. Area: 400sqm Asking Price: 30M Price Negotiable Mawasiliano: 0768444224 Piga simu tuzungumze biashara. Madalali pia mnakaribishwa.