Details
Description
Kiwanja kinauzwa KIHONDA KILIMANJARO KIPO KARIBU NA BARABARA YENYE DALADALA ZA MJINI, KUNA UMEME NA MAJI KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI UKUBWA SQM 700, NI KIWANJA CHA KWENYE KONA, KINA BARABARA MBILI KUBWA ZA MTAA, WAWEZA JENGA NYUMBA YA KUISHI NA FREM ZA BIASHARA MBELE KWANI ENEO LIPO KWENYE MTAA ULIOCHANGAMKA . PAMEJENGEKA VIZUR SANA BEI MILION 12, PIGA SIMU 0652644084/0734443403