Details
Description
Kiwanja kipo mtumba stand mkono wa kulia ukiwa unaelekea morogoro, kiwanja kipo mita mia saba ukitokea barabara ya lami na pia huduma hazipo karibu kidogo pia watu hawajajenga karibu makazi yapo mita mia tatu kutokea kilipo kiwanja