12.06.2022Tanzania, Morogoro
Details
Description
Kiwanja kizuri kinauzwa Kipo mkundi kiegea , Pamejengenga vizuri, Ukubwa ni sqm 860 Kwa mita ni 20 kwa 43, Kimepimwa na kimeshalipiwa ardhi hivyo ukinunua unapata hati miliki moja kwa moja. Bei ni milion 4.5
Chat with ANTONY S.
Call ANTONY S.