Details
Description
kiwanja kikubwa mkundi sheli, ni karibu na ukanda wa shule nyingi za serikali na private, kipo karibu na hispitali, pia ni mita 600 kutoka lami, kutoka lami ni streight bila kona hadi site, umeme upo hakuna haja ya nguzo, kimepimwa na kina hati miliki ukubwa ni sqm 1780 bei ni milion 16, piga simu au fika ofisini kwetu NUNUA KIWANJA SALAMA... KWA FURAHA YA FAMILIA YAKO, EPUKA MATAPELI