14.08.2023Dar es Salaam

Kiwanja Kigamboni

TZS 70 000 000

Details

Terms
Yearly in advance
Price per square unit
No
Square units
200 acreas

Description

*TUNAUZA kiwanja chetu karibu kidogo na MIKADI BEACH RESORT KIGAMBONI na PWEZA BEACH (umbali yake kutoka Ferry takribani kilometa 3 na kutoka ufukweni mita 600 tu! Ukijenga ghorofa utapata upepo safi kabisa ya bahari na kuiona inawezekana!!) Eneo Haijapimwa. Inao hati ya Serikali ya Mitaa. Takribani skwaya mita 200. Bei yetu Tsh net 70,000,000/= ukiwa tayari kununua wasiliana na 0713-671-656 au 0693-167165 fuata Instagram fb@abmcorealestate WhatsApp +255784-747412 ABM&CO. REAL ESTATE SERVICES*

ABM&Co. Real Estate Services

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam