Details
Description
KIWANJA KINAUZWA 1555SQM MKALAMA ______________________________ MAENEO MATATU POTENTIAL YA KUJENGA DODOMA KWASASA 1.ITEGA 2.MKALAMA(KATIKA VIDEO HII) 3.MAKULU-MAPINDNDUZI ______________________________ MKALAMA-IKO BARABARA YA UDOM _____________________________ UMBALI-4KM TOKA KATI YA MJI _____________________________ UKUBWA WA KIWANJA-1555SQM _____________________________ NYARAKA ZA UMILIKI/DOCUMENTS-HATI SAFI/CLEAN TITLE DEED ______________________________ HUDUMA-MAJI+UMEME+BARABARA ZIMECHONGWA VIZURI _____________________________ BEI-37M(MAONGEZI KIDOGO YAPO) _____________________________ SIFA KUU ZA MKALAMA 1.KWA UKARIBU ZAIDI INAPAKANA NA -NCC LINK ENEO AMBALO YALIPO MAOFISI KAMA NHIF,NATIONAL AUDIT,JK CONVECTIONAL CENTRE,B.O.T,TAKWIMU AMBAPO KUTAFANANA KWA KIASI KIKUBWA NA POSTA YA DAR KWA KIASI KIKUBWA KWA MIAKA IJAYO SABABU NI ENEO LITALOJAA MAGHOROFA ________________________________ 2.LAKINI PIA NI JIRANI NA PRIME AREA NYINGINE IITWAYO MEDELI YALIPO MAHOTEL+MALLS MBALIMBALI KAMA 1.MORENA HOTEL 2.NASHERA HOTEL 3.GOLDEN FOLK 4.SHOPPERZ 5.LA STANAR HOTEL 6.SHOK SHOK NIGHT LIFE CLUB,N.K ________________________________ 3.JIRANI NA MJI MPYA ULIOPANGIKA VIZURI UITWAO IYUMBU _________________________________ 4.KARIBU NA UDOM PAMOJA NA HOSPITAL KUU YA MKOA WA DODOMA BENJAMIN MKAPA _________________________________ 5.NI ENEO LILILO KWENYE MWINUKO LINALOKUPA MUONEKANO/MVUTO MZURI WA MJI _________________________________ 6.ENEO LENYE NEIGHBOURHOOD NZURI,NYUMBA MPYA ZA KISASA ZENYE UBORA MKUBWA,MANDHARI NZURI,ENEO TULIVU(TAZAMA VIDEO HIYO) _________________________________ KWA MAHITAJI YA VIWANJA KATIKA ENEO HILI TUPIGIE