Details
Description
Kiwanja kikubwa kinauzwa kipo kihonda kilimanjaro. Sifa za kiwanja Kina ukubwa wa mita za mraba 30 kwa 45, kimepimwa, umeme upo,maji yapo, kina geti kubwa tayari la kuslide(kisasa),kimekamilika uzio mkubwa wa tofali za block, fensi ndefu, kipo mtaa uliojengeka, kukiona ni muda wowote bure bila malipo yoyote, bei milion 35,