Details
Description
. KIWANJA (plot) inauzwa ipo Chanika (Buyuni, Ilala, kilomita 30 kutoka Uwanja wa Ndege wa DSM), miundombinu muhimu kama MWENDOKASI na madaraja flyover yanaelekea huko! . Ukubwa chake skwaya mita 1100 (robo Ekari) inao HATI MMILIKI WA WIZARA. . Mwenye eneo anauza kwa net TZS 25,000,000 tu. 📞 Wasiliana na 0693-167165 ☎️ 0713-671-656 inapokea hela ya usumbufu (site survey fees) 📱 0686-260-818 📲 WhatsApp +255784747412