Details
Description
#KIWANJA CHA #MAKAZI # KINAUZWA CHANIKA BUYUNI NJIAPANDA ITALIAN# ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Kiwanja kiko: CHANIKA ITALIAN KIMEPAKANA NA KOTA ZA NSSF DSM. — Kiwanja kiko sehemu nzuri sana ya kimkakati . — Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki. -- Kiwanja kina mita za mraba 800. — Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi. — Huduma zote za kijamii zinapatikana. — Eneo limepakana na barabara ni kiwanja cha kwanza kutoka barabara ya mtaa. — Bei: Tsh. 16,000,000/- na mazungumzo yapo. — Hati miliki utapewa baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja. Kwa maelezo zaidi nicheki nyenye namba yangu.