Details
Description
#ENEO LA BIASHARA LINAUZWA KIBAHA MJINI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ MAHALI: LULANZI, KIBAHA MJINI, PWANI. MAELEZO: ENEO LIMEPIMWA NA LINA HATI MILIKI. UMEME NA MAJI YAPO KATIKA ENEO. ENEO LIMECHANGAMKA SANA NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO. LINAFAA: ENEO LINAFAA KWA SHULE, KIWANDA, YADI, GODAUNI N.K. UKUBWA: ENEO LINA UKUBWA WA 2.304 HECTA, SAWA NA HEKA 6 KASORO. ZAIDI: ENEO LIKO MAHALI PAZURI SANA KWA UWEKEZAJI, MITA 900 TOKA MORO ROAD, KARIBU NA STENDI MPYA YA MABASI KIBAHA. BEI: TSH. 30,000/= KWA MITA MOJA YA MRABA. (MAONGEZI YAPO) ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ ENGLISH #COMMERCIAL PLOT FOR SALE AT KIBAHA TOWN. ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ LOCATION: PLOT IS LOCATED AT LULANZI, KIBAHA TOWN, PWANI. DESCRIPTION: PLOT IS SURVEYED AND GOT TITLE DEED. ELECTRICITY AND WATER SUPPLY AVAILABLE. THE AREA AROUND HAVE DEVELOPED INDEED SUITABLE FOR: THE PLOT IS SUITABLE FOR SCHOOL, INDUSTRY, GODOWN, YARD. AREA: PLOT HAS 2.304 HECTERS. MORE: PLOT HAS CONDUCIVE ENVIRONMENT FOR INVESTMENTS, 900 M FROM MORO ROAD. PRICE: TSH. 30,000/= PER SQM (NEGOTIABLE) ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ MORE DETAILS: CALL/WHATSAPP .