02.07.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Kiwanja cha Beach (Beach Plot) Kinauzwa

TZS 1 800 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

Kiwanja cha Beach (Beach Plot) Kinauzwa. MAHALI: Kijichi Kota za Polisi 1. Ukubwa wa Kiwanja: Hekari 3 2. Kina sehemu kuu mbili: Sehemu ya Juu ambayo unaweza ukajenga nyumba ya kuishi au apartments. Na sehemu ya chini ambayo iko karibu na bahari ambayo unaweza ukajenga hoteli au mradi wowote wa starehe ambayo utaendana na kupata view ya bahari. 3. Umiliki: Kiwanja kilifanyiwa sub-division kutoka kiwanja cha hekari 4 kupata hizo hekari 3. Kiko surveyed bado hati. 4. Umbali kutoka kota za polisi mwendo wa dakika 5 kwa miguu. 5. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20

Estate Professional Brokers

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam