Details
Description
Kiwanja kipo jirani na SHUKE YA MSINGI MITIMIREFU, MLAMLENI MKURANGA. Ni mita 400 tu kutoka Barabara Kuu. Eneo linajengeka kwa kasi. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 600. KIMEPIMWA. ___________ ANGALIZO: Malioo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.