Details
Description
Hiki ni Kiwanja kizuri cha kwenye Kona. KINAUZWA NA BANK. Ndani yake kuna Pagale lililokusudiwa kufanyia Biashara ya Mgahawa au PUB. Eneo linafaa kuwekeza Kibiashara Ukubwa wa Kiwanja SQM.1,500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Kipo umbali wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.