Description
VIWANJA-KILUVYA MADUKANI ✅Mradi upo kilomita 3 toka barabara kuu ya Morogoro road. ✅Ujirani mzuri sana na ni karibu na huduma zote za kijamii. ✅Bei ni ndogo na ya kuvutia mnoo kwa 17,000/=kwa sqm. ✅Malipo ni cash (pesa taslim) au kwa awamu mpaka miezi 3. Vimebaki viwanja vichache sana. Karibuni sana.