Details
Description
Je unahitaji kuuza kwa *HARAKA SANA* leo leo kiwanja chako cha Kigamboni (DSM) kuwa na ukubwa wa skwaya mita minimamu 1000 na HATI MILIKI SAFI YA WIZARANI bila madai yeyote ya benki au wadai wengine? Kama jibu ipo "ndio", 1. WhatsApp nyaraka za hati miliki kufika +255784-747412 2. tuma Google Maps pin 📍 yake? 3. Weka bei yako ya mwisho pia na hilo ujumbe wa WhatsApp? Baada yake tutawasiliana NA WEWE (mwenye eneo halali) tufike site na wateja hapohapo! ABM&Co. REAL ESTATE SERVICES 📞0693-167165