Details
Description
VIWANJA ! VIWANJA! KIGAMBONI CHEKA Miliki kiwanja cha mita za mraba 20kwa 20 ( sqm 400) ✍️Bei milioni 6000,000 ndani ya mwez 1 ✍️Kwa kidg kdg bei 7200,000 kwa miez 3 ambayo kila mwez 2400,000 UNAWEZA KULIPIA KIDOGO KIDOGO MIEZI 4 ✅Km 1 barabara kuu ✅umeme na maji vipo karibu na site ✅Viwanja vimepimwa vina hati ✅Barabara nzuri mpaka ✅Makazi yapo mpaka site PIA TUNA VIWANJA ✅Kigamboni mbutu beach ✅Kigamboni buyuni ✅Bagamoyo kerege ✅Bagamoyo ukuni ✅ Bagamoyo mataya SIKU YA KUTEMBELEA VIWANJA VYETU NI ✅JUMATANO ✅JUMAMOSI ✅JUMAPILI OFISI ZETU ZIPO MAKUMBUSHO JENGO LA DERM PLAZA