Details
Description
VIWANJA ?VIWANJA KIGAMBONI CHEKA Mradi upo km 23 kutoka feri, ✅km 2 kutoka barabara kuu ya lamina ✅ km 1 kutoka baharini. ✅Site ipo jirani na Changani beach hotel na uwanja wa ndege ndogo za kitalii. Umeme, makazi ya watu, shule, vyote vipo jirani na site. Viwanja vimepimwa na unapata hati ya wizara baada ya kumaliza malipo Malipo ya kudunduliza hadi miezi 3 yapo.