Details
Description
Kigamboni Cheka News ? ?️ News News!! Sifa za mradi wetu pendwa ni kama zifuatazo; ?Mradi upo 1.5km meter from main road ?️ yani unashuka kwenye gari lako unaingia site. ?Huduma zote za kijamii zinapatikana ?Mradi wetu upo karibu kabisa na uwanja wa ndege ? Mradi wetu umepimwa tayari ?Hati ya wizara kutolewa baada ya mteja kumaliza malipo. ?Mradi wetu pendwa upo 1km from Indian ocean ? wale wenye kupenda fukwe huku ndio kwenyewe. ?Mradi wetu upo umbali wa km 26 ukiwa unatokea ferry ⛴️ ?Na kwa wale wanaotokea darajani mradi wetu upo umbali wa km 28. Bei zetu ni rahisi kabisa kulingana na matumizi ya mteja anayotaka kufanya kwenye eneo husika. Usisite kuwasiliana nami mazungunzo yapo. follow my Instagram page ? @ natty_viwanja_daily