Details
Description
Miliki Shamba Talawanda Bagamoyo Kwa Kufanya Malipo Kwa Miezi 13 . ✅ Mashamba Yetu Yamepimwa , Yanapatikana km 14 kutoka barabara Kuu ya msata Road. Mashamba Yapo Karibu na kiwanda Cha Cement Cha Shubashi , Mashamba Yana Huduma Za Maji ,Umeme , Barabara. Ardhi Ni Nzuri Unaweza Lima mananasi ,mahindi ,migomba ,Viazi Na Yana uoto wa Kustosha Kwa Mifugo ✅ Site Visit Ya Mashamba Ni Kila jumamosi Saa 2:15 Asubui . Usafiri elfu 10,000 . Safari zinaanzia ofisini Kwetu Kivulini mlimani city.