25.02.2022Tanzania, Arusha

HILL SIDE PLOT 1/2 ACRE NEAR NEAR BRAEURN FOR SALE

TZS 65 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

KIWANJA CHA MLIMANI NUSU HEKA 3KM KUTOKA SHULE YA BRAEBURN KISONGO KINAUZWA Eneo lilivyo 1. Mlimani penye mvuto wa kipekee na muonekano mzuri wa mlima meru na vilele Vingine vya milima vinavyozunguka eneo hili 2. Eneo lipo 5km kutoka kona ya kuingia Barabara ya A to Z/Barabara ya Arusha/Babati 3. Mazingira yametunzwa vizuri 4. Pana utulivu na wakaazi wachache sana 5. Panatoa muonekano mzuri na hewa safi kutoka mlima Meru 6. Pana Umeme na maji 7. Barabara nzuri na usafiri wa umma 8. Panafaa kwa kwa makazi, Lodge ya kiwango cha kati au nyumba ya Mapumziko kwa familia . HILL SIDE PLOT HALF ACRE 3 KM FROM BRAEBURN SCHOOL KISONGO FOR SALE Price: Tshs 65,000,000 Features 1. Hill offering view of Mt. Meru & several other hills around 2. The land is 5 km from A to Z road Junction/Arusha/Babati Road 3. Well conserved hill. 4. Cool with very few residents, 5. Scenic & endowed breeze from the great Mt. Meru 6. Electricity & water available 7. Accessible roads and public transport. 8. Ideal for residential, medium size lodge and holiday homes.

Savvy P.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha