09.02.2022Tanzania

Heka Iliyoshika Lami Inauzwa Arusha

TZS 170 000 000

Description

Wafanya biashara na makampuni, wanaotaka kujenga sheli, hoteli au kufanya biashara karibu barabara. Hii inawahusu( kuna heka zinauzwa 170m. Moja IPO Intel(bypass ya East Africa road) na nyingine ipo kingori karibu na panoni (barabara ya USA kuelekea moshi. Zote zimeshika lami na huduma za muhimu zipo. Ina Hati na ramani yake. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0755573432. #viwanja #njiro #arusha #tanzania #makazi #millionmakazi #hapakazitu #daressalaam #nyumba #biashara #investors #uzachochote.com #ujenzi #nyumba #matofali #tiles #mafundi #wajenzi

Geofrey T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location