Details
Description
Eneo hili lipo jirani na kituo cha Mzambarauni(Gongo la Mboto) Barabara kubwa ya Tazara - Pugu. Lipo nyuma ya Hospitali ya KITONKA - Mzambarauni. Rahisi kufikika, kwa gari/pikipiki/kwa miguu Usalama upo wa kutosha muda wote. Umeme na maji vipo. Eneo hili lina nyumba ya zamani iliyochakaa japo kuna watu wanaishi hapo kwa sasa. Mnunuzi anashauriwa/atabidi avunje jengo hilo chakavu kabla ya kuanza ujenzi wa jengo lake. Walisiana na mmiliki kwa simu namba :- +255 717 018788 +255 763735390