11.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Details
Description
Eneo la biashara Boko chama linauzwa, linafaa kwa kuweka kituo cha mafuta au matumizi mengine ya kibiashara ukubwa wa eneo ni sqm 2700 eneo linakamata Bagamoyo road bei:350mil maongezi pamepimwa
Chat with Dalali J.
Call Dalali J.