Details
Description
⚫Vimepungua bei sasa, pata square meter kwa 5,000 tu. ⚫Viwanja vipo nyuma ya ukuta wa Ikulu, Kilometres 1 unapoishia ukuta wa Ikulu. ⚫Pia viwanja vipo umbali wa Kilometre 4 kutoka Morogroro road. ⚫Viwanja vimepimwa tayari,na hati utapata. ⚫Site tunatembelea kila siku. ⚫Vipo viwanja vya ukubwa tofauti tofauti. ⚫Miradi mingine ya viwanja ipo maeneo ya Iyumbu, Ihumwa Elshaadai, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Kitelela, Mahoma Makulu, Itega...Pia tuna viwanja Dar es Salaam ,na Pwani.