Details
Description
• Mahali: Bunju A Kwa Jumbe, mta 60 kutoka Bagamoyo Rd. • Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa na kupandikizwa mawe bado hati tu • Ukubwa: sqm 950 • Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa na survey • Bei: TZS mil. 55 . √ kiwanja kipo mstari wa pili kutoka Bagamoyo Road √ ujenzi wa njia 6 utakapofanyika, kitakuwa kiwanja cha kwanza kutoka Bagamoyo Road √ panafaa kwa ujenzi wa makazi na biashara √ kuna uzio, banda la karakana na nyumba ndogo inayotumika kama ofisi √ umeme na maji vipo