Details
Description
BEACH PLOT INAUZWA. KIGAMBONI KIMBIJI CENTRE. -Ni sehemu nzuri na ya kuvutia. -Ni beach inayogusa maji na ni mchanga safi kabisa. -Ni nzuri kwa uwekezaji na makazi. -Ni full upepo wa bahari. -Ni 500m kutoka Kimbiji Centre. -Panauzwa kwa ekari na ekari moja ni milion 400 tu. Kama ulikuwa unatafuta beach plot inayogusa maji sasa umepata. SITE VISIT NI KILA SIKU. KARIBUNI SANA ?