Details
Description
MRADI MPYA!!! BUYUNI BEACH PLOT. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo Buyuni beach. -Umbali ni 45km toka Kigamboni Ferry. -Huduma zote za kijamii zinapatikana. -Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea. -Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli. -Bei ya square meter moja ni 35000. Bei ya square meter 400(20m kwa 20m) ni milioni 14. -Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja. -Maongezi yapo. NJIA ZA MALIPO Unaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi. ZINGATIA: Viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita chache toka baharini na view ya bahari unaiona kwa uzuri na ukaribu. KARIBUNI SANA?