04.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Beach plot for sale

TZS 70 000

Details

Price per square unit
yes

Description

?MRADI MPYA!!! BUYUNI BEACH PLOT. -Ni mradi mzuri,wa kuvutia sana na unaogusa maji. -Mradi upo Kigamboni Buyuni. -Umbali ni 50km toka Kigamboni Ferry. -Huduma zote za kijamii zinapatikana. -Mradi umepimwa. -Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli. -Full upepo wa bahari. -Bei ya square meter moja ni 70,000. -Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja. NJIA ZA MALIPO Unaweza lipa cash ama ukaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ukiigawanya kwa kila mwezi. #SITE VISIT ni kila siku. Karibuni tupate upepo wa bahari. KARIBUNI SANA?

Samwel

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam