Description
Ni viwanja vya beach namba 3 vinauzwa . Viwanja vimepimwa vipo manispaa ya Kigamboni JIJINI Dar es salaam karibu na Avic Town bei ni tsh 18elfu kwa sqm 1 vipo karibu zaidi na bahari ni 200m kutoka baharini hadi vilipo viwanja kwa mawasiliano tupigie simu namba 0784862313 au what'sApp 0784862313 karibuni sana.