Details
Description
11.8 ACRES OF LAND FOR SALE 5KM NORTH OF KISONGO. Black fertile soil land in Likamba north of Kisongo close to the Aga Khan University, land offer amazing view of Mount Meru. Features 1. Well accessible road. 2. Ideal for a country home, farming, ranching or any other investment. 3. Legal acceptable ownership documents available 4. Electricity & Water close to land 5. Ideal for Lodge/ Hotel set up 6. Any other institution set up SHAMBA HEKA 11.8 LINAUZWA 5KM KASKAZINI YA KISONGO Shamba lenye Udongo mweusi wenye rutuba karibu na eneo la chuo kikuu cha Aga Khan, linatoa muonekano mzuri wa Mlima Meru. Eneo lilivyo 1. Barabara inayopitika muda wote 2. Linafaa kwa makazi tulivu nje ya mji, kilimo, Ranchi ya mifugo au uwekezaji Mwingine wowote. 3. Hatimiliki ya kimila inaotambulika kisheria ipo 4. Umeme na maji vipo karibu 5. Panafaa Ujenzi Lodge au Hotel 6. Panafaa Kuweka taasisi nyingine yoyote