CategoriesKidsOther

09.12.2021Tanzania

School Bags

TZS 18 000

Description

Karibuni sana mabegi imara kwa ajili ya wanafunzi.Zipo rangi mbalimbali za watoto wa kike na wa kiume pia kuanzia darasa la 4 mpaka sekondari.Mzigo upo Moshi, Arusha na Karatu na tunatuma mikoani kwa bus na unapewa risiti.Pia ikiwa una ndugu, jamaa na marafiki waliopo huku tutawapatia mzigo wako ili wakutumie kwa uhakika zaidiNjoo WhatsApp 0674787811

Manka

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location