Condition:
NEW
Description
Karibuni sana mabegi imara kwa ajili ya wanafunzi. Zipo rangi mbalimbali za watoto wa kike na wa kiume pia kuanzia darasa la 4 mpaka sekondari. Mzigo upo Moshi, Arusha na Karatu na tunatuma mikoani kwa bus na unapewa risiti. Pia ikiwa una ndugu, jamaa na marafiki waliopo huku tutawapatia mzigo wako ili wakutumie kwa uhakika zaidi