CategoriesKidsAccessories

06.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Digital Electronics baby weight scale

TZS 120 000

Condition:

NEW

Description

*DIGITAL ELECTRONICS BABY WEIGHT SCALE* Ni mzani wa kisasa zaid kwa ajili ya kupimia uzito wa mwili kuanzia mtoto wa week Moja(1week)mpaka miaka10. *Mizani hizi waeza kutumia kwa;* BODY WEIGHT BALANCE MANTAIN BODY EXERCISE WEIGHT CONTRAL MEASURED HOSPITAL SCHOOL PERSONAL USES Weight balance ya mwili kuangalia maendeleo ya mwili wa mtoto na kusaidia kujua aina ya lishe KWA ajili ya mtoto kulingana na umri na kimo chake. *ZINGATIA* Mtoto akiwa mchanga ni lazima kuzingatia uzito wake kulingana na mahitaji ya afya ya mtoto ktk ukuaji wake. Hii itasaidia kuepuka magonjwa mbalimbali ya lishe(overweight and underweight) KWA kua lishe itazingatia Zaid uzito wa mwili wa mtoto. *MATUMIZI* Mizani hii ni imara inayotumia battery mbili(AAA size) zinazopatikana madukani kirahisi na ni simple kutumia kwa sababu inakupa uzito kamili na accuracy(digital range). *WEIGHT RANGE* 10g(0.01Kg)mpaka 100kg BEI 120000 DELIVERED Free kwa Dar es salaam ??????????????Tupigie tukuletee popote ulipo kwa namba

Kivuyo

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam