Description
Mzigo mpya toka Smart Watch Zone Tz đInapiga na kupokea simu đ©șInapima blood pressure na heart rate đ©Inapokea message za kawaida watsap Facebook Instagram na nyengine kibao đ§Inaplay music wa simu âïžPiah insecurity password option âInaonesha saa vizur kabisaaa