Description
RADO jubile watch silver and white š„inaonesha tarehe na siku husika š„inatumia betrii š„Ina mikanda ya chuma iliyo imara š„Gharama nafuu š„haichubuki au kupauka kwa haraka š„water resistant Price Tshs 55000/= Tupo kariakoo mtaa wa msimbazi Kwa mawasiliano Tupigie kupitia simu namba 0744954140 Instagram saatz24 au kupitia link š https://www.instagram.com/saatz24?r=nametag Delivery tunafanya popote pale ndani ya Tanzania na kwa wakazi wa Dar es salaam malipo ni baada ya mzigo kufika