Description
Sasa hii ni kubwa kuliko yaan ni smartphone kabisaaa🔥🔥🔥 Ina features nyingi kama ✅ Android na apple zote zinakubali ✅ Inatumia line ya 4G network ✅ Ina playstore ambapo unaweza kudownload apps zotee yaan kama 💥 Instagram 💥 Facebook 💥 Whatsapp, Tiktok, Snapchat nk ✅ Unaweza kustream video youtube ✅ Inasupport wifi connection ✅ Inafanya GPS Positioning ✅ Package yake inakuja na mikanda 3, wireless charger na user manual