Description
Wordpress ni moja ya technolojia kubwa na ya kuaminika katika utengenezaji wa website,kampuni kubwa kabisa duniani yanatumia mfano TechCrunch,BBC,MTV news & Beyonce. Wewe kama mfanyabiashara ,uwe mfanya biashara mdogo au mkubwa unahitaji website ili uweze kuendana na ulimwengu wa kibiashara Tunatengeneza website kwa ambazo ni professional kwa service package zifuatazo ◾️ Siku tatu website yako itakuwa tayari kwa siku tatu.kwa gharama ya Tsh 850K ◾️ wiki website yako itakuwa tayari ndani ya wiki kwa gharama ya Tsh 650K ◾️ Mwezi website yako itakuwa tayari ndani ya mwezi kwa gharama ya Tsh 450k ?Kama unawebsite tayari tunafanya huduma ya maintenance kwa gharama ya Tsh 250K kwa mwezi UNAWEZA UKALIPA KWA INSTALLMENTS,HII NI OFFER YA MFUPI