Details
Description
Hii ni nyumba nzuri ya kisasa. Ipo jirani tu na Barabara ya Bagamoyo pale BUNJU-A. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800. Umiliki ni HATI (Title Deed ya Wizara. Vyumba 4 ( Masta 1) Sebule, Jiko,Dining-room. Store na Choo cha Familia ndani. Ina AC, Parking kubwa yenye Paving. na Kabustani tudogo. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________zw