27.02.2025Dar es Salaam

YENYE HATI VYUMBA 3, MAGETI

TZS 55 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri yenye vyumba 3 na ambayo umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Eneo: Ipo wastani wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami, GOBA MAGETI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______zw Ipo ndani ya Fensi. Ina Tiles,Gypsum, Slide Windows, Parking.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam