Details
Description
Nyumba ya vyumba vitatu (3) ya KUMALIZIA. Ipo KIBAHA KWA MATHIAS (MSIGANI) Ipo umbali wa kilomita 6 kutoka Barabara ya Morogoro. Huduma za Umeme na Maji zipo. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___mpg Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Tuwasiliane mapema kuona