Details
Description
Hii ni nyumba nzuri ya kumalizia ujenzi, Ambayo umiliki wake ni HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI na ambayo ipo eneo la KIBAHA, MSUFINI-PWANI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Huduma muhimu za Umeme na Maji zipo jirani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg