26.12.2024Dar es Salaam

YAKUMALIZIA UJENZI KEREGE

TZS 32 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Hii nyumba ni ya KUMALIZIA UJENZI kwa vitu vidogovidogo. Ipo mita 500 kutoka Barabara ya Bagamoyo. Eneo ni KEREGE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ______ ANGALIZO: Malioo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mpg Ujenzi wa kisasa. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam