Details
Description
Nyumba nzuri ya vyumba 3 (masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo KIVULE KWAMAKONDE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Umeme umeshaunganishwa na Tiles zimejengwa pia. Maboresho madogo tu yamebaki. IKIWA HUNA MSKUU SANA PANAKUSITIRI KILIKO KUANZA KUFIKIRIA KUNUNUA KIWANJA NDIPO UABZE PRESHA YA KUJENGA. WAHI HUTAJUTIA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 ________mskv