23.01.2025Dar es Salaam

YA VYUNBA VINNE KIMARA MWISHO

TZS 38 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
300 m2

Description

Hii nyumba ipo KIMARA MWISHO/KWA MAMA STELLA. Umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 4 (Masta 1) Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam