12.04.2025Dar es Salaam

YA VYUNBA 4, KWAMSUGULI MBEZI

TZS 70 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
800 m2

Description

Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 2.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Eneo ni MBEZI KWA MSUGULI. Imeezekwa Paa la kuficha Bati (CONTEMPORARY design) Ina jumla ya vyumba vya kulala 4 (3 kila Chumba na Choo chake ndani) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja tambarare na ukubwa wa SQM. 800 Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Kuona tuwasiliane mapema tafadhali. ___yhn/wn

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam